THE SOUND FROM HEAVEN
Monday 13 2025
Theme: How this Kingdom works‼
“I assure you and most solemnly say to you, whoever says to this mountain, ‘Be lifted up and thrown into the sea!’ and does not doubt in his heart [in God’s unlimited power], but believes that what he says is going to take place, it will be done for him [in accordance with God’s will].”
Mark 11:23
- Marko 11:23
- “Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng’oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake.”
- Yeyote atakaye sema Pasipo Shaka na kwa kuamini. ( hakikisha unaamini unacho sema)
- Unapo sema ona katika picha ya ufahamu wako kile ulichosema kimetukia.
- Kabla ya kusema neno toka ndani yako hakikisha neno hilo umelitafakari mpaka limebeba uhalisia wa kitu unacho taka kusema. Ndipo ukisema kile ulicho kiona katika kutafakari kinakuwa.
- Maombi ni Muhimu sana lakini kutafakari ni Muhimu sana kwani maombi bila tafakari ya neno la Mungu ni sawa na kuwa na silaha isiyo na Risasi au moto.
- Itakuwa kila utakacho kisema haijalishi ukubwa wake : the key is . Neno la Mungu ( liletalo imani) Tafakari ya neno ( iletayo uhalisi wa kile kilicho katika neno) Maombi ( yaliyobeba neno lenye uwezo na nguvu ya kusababisha kile usemacho kutokea)
In Katika Jina la Yesu.
Pastor Enoch
THHS
www.pastorenoch.com